Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Moyes kafukuzwa Roy Keane kachukuwa nafasi. Manchester Utd wameamua kuendeleza tradition
he has 100 -1 Odds kuchukua hiyo position, bora ungesema Gerry Neville 33 - 1,....
Moyes kafukuzwa Roy Keane kachukuwa nafasi. Manchester Utd wameamua kuendeleza tradition
he has 100 -1 Odds kuchukua hiyo position, bora ungesema Gerry Neville 33 - 1,....
tatizo ManU hawajitumi/hawakabi kabisa wakipoteza mipira na wawapo uwanjani.........ukiangalia timu kama Liverpool, ManCity, Barcelona, Bayern Munich....yaani wanajituma sana wawapo uwanjani......
.....duhhhh, kumekucha na media zote MOYES, MOYES, MOYES....#TheUnwantedOne !
have faith people, have mercy....Get rid of Glazer family, #StandByYourManager !!!
Dhambi ya kufukuza haiishii hapa,....hata ajaye mtamfukuza tu!
Wenzenu Chelsea si mnawaona? #Mourinho amekalia kuti kavu pamoja na
mafanikio yote ya 'kununua' waliyoyapata...
MERCI MERCI MERCI Comrade Nzi, Belo...et al...!

Come again sir??!
sometimes media inapotosha sana..
unajua kwa miaka zaidi ya kumi tokea Abramovich aichukue chelsea Madrid na Barcelona zinetumia hela nyingi zaidi kwenye usajili kiliko chelsea,
madrid ni £831m (€1,000m) hapa hatujajumlisha za kumchukua Bale,
Barcelona ni £593m (€713m) hapa hatujaweka za kumchukua Neymar ambaye ni inasemekana ni ghali kuliko huyo Bale wakati Chelsea ni £540m (€650m)
:A S 13::A S 13::A S 13:......#TimeOut kiongozi,
tupo msibani hapa tunaomboleza KUFUKUZWA baba Lauren.
Hayo mambo ya kununua tutayajadili baadae kwenye thread yenu.
TOO SAD,...
TOO HARSH...
TOO SOON....!!!
Too sooon,...hah hah ..ulitaka akae mpaka lini?
....kimenuka!.....WESHAMFUKUZA AISEE,
RYAN GIGGS ndio manager wao wa muda...(Caretaker)