Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We jamaa mpira unajua kweli unataka kuniambia kuwa Palmer, Joao Pedro, Morgan Rogers hawana Consistency???
Sasa AM msimu Jana ana assist moja kwenye mechi zaidi ya 20, mwingine huyo ana assist 6 mechi zaidi ya 30, msimu huu namba zinaweza zikawa juu, msimu ujao zitashuka tena and still timu ikawa haina progress yoyote Ile,Pedro anaonekana kajipata lakini in reality ukichukua average ya idadi ya mechi na magoli Yuko sawa na Sesko ambaye anajitafuta...
 
Msimu uliopita Cole Palmer alikuwa injury kakosa mechi nyingi sana pamoja na injury yake lakini kaweka goal 10 kwa hiyo takwimu Kuna Mchezaji mwingine ndio takwimu yake Bora akiwa mechi zote available. Msimu uliopita Joao Pedro kafunga mabao 15 na Assist 5 wakati huyo Sesko mabao 11 na Assist 1 kumbuka Msimu uliopita Joao Pedro kacheza mechi nyingi kama no 10 chini ya Enzo Maresca alivyokuja Rosenoir ndio akawa anaanza kama no 9.
 
Otherwise alikuwa anacheza na majeraha coz game 26 assist moja Kwa AM ni blow...
 
Timu mbovu.
Pamoja na kwamba wewe ni mpinzani wa jadi lakini hapa nakubaliana na wewe mkuu Castr . Sajili zinazofanywa unyumbuni haziakisi kutatua matatizo ya msingi ya timu ila sajili zinashabikiwa na media kutuaminisha ni watu sahihi kwa kazi. Mainoo, Tielmann, Santos, Baleba, Bruno halafu wachambuzi nguli wanasema tunaenda kuitawala ulaya na kiungo hicho.

Tatizo lingine kwa timu yangu ni Uingereza. Fikiria Shaw, Maguire, Mount, Rashford wamekaa United miaka mingapi na wamekutana na wali wangapi lakini hawakuwa na ubora wowote ila wameendelea kuwa sehemu ya kila rebuild inayofanyika kwetu. Karibia miaka 19 una mchezaji ambaye hakupi matokeo unasubiria nini?

Mbali na tatizo la morali, wachezaji wetu wengi hawana individual brilliance ambayo unaikuta kwa zile big team (kasoro asno) badala yake ni mpira wa kukaririshwa tu. Pass zetu nyingi zinatabirika kwa wapinzani sababu wachezaji hawana ubora wa kutosha.
 
Tielemans anasema mazoezi ya Villa ni magumu kuliko hapo united.

Joseph Canick pengo lake hilo hapo.
 
Shida nyingine mashabiki wengi wa united mpo deluded.

Hua hamuoni ukweli. Ubaya pia hampo vizuri kuangalia na kuuelewa mpira, haya ni maneno ya Pogba.

fuentte
Inawezekana ikawa kweli hatujui mpira, ndio maana uongozi unatuletea wachezajiwa bei rahisi halafu wanatuaminisha kwa maneno kuwa ni world class hadi pale watakapocheza mechi ya kwanza halafu dirisha linakuwa limefungwa.
 
Huwezi kutoka kupambania kuingia top four msimu huu baada ya kuisotea nafasi ya 10 kwa nusu na robo ya msimu halafu unasajili wakina Santos na Tielemans ndiyo uje kuchukua kombe.

Hata kama mpira unadunda siyo hivyo
Hata mimi imani yangu haikukubaliana na hilo tangun mwanzoni, ila kuna mtu ana misulin ya imani anaitwa Bagabeach
 
Kusema kweli hatukuwa na plan yoyote ya usajili tangu kufungliwa kwa dirisha la usajili hasa baada ya kuona tumekimbilia kwa ederson wa ATALANTA na dili likafa tukarukia kwa santos. Pamoja na kwamba tuliaminishwa kuwa all roads leads to Baleba, hata yeye tumemsajili dakika ya majeruhi kuziba kelele za mashabiki tu ila haukuwa usajili wa dhamira ya ndani.
 
Huyu Baleba mmemhype ila atawadisappoint.

Tupo humu
 
Back
Top Bottom