Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilisema ni wachezaji watatu tu wa Manjesta ndio wanaweza kuingia kikosi cha Brighton

hii timu ndio tunaambiwa na kina Flano itapiga watu 5, itabeba EPL na UCL

Mpaka sasa hatujafika hata October Wana uhakika na kombe la FA tu nalo sababu halijaanza kuchezwa
View attachment 3672722
🤣🤣🤣 Oyaaaa mwanangu Masingeli hebu niambie wachezaji wangapi wa Arsenyau wanaweza kuingia kwenye kikosi cha Brighton?
 

Attachments

  • 1789840464862.jpg
    1789840464862.jpg
    27.3 KB · Views: 1
Hiyo ni sawa na kunyewa na kunguru

Bingwa atafungwa mechi 3 ,moja wapo ni hiyo tu
🤣🤣🤣 Wazee wa kunyewa na kunguru msimu huu mtanyewa sana.
Ule uhuni wenu wa msimu uliopita kupata ushindi mpaka mumzongezonge kipa kwenye mipira ya kona msimu huu hakuna timu yoyote mtakayo cheza nayo watakubali kufanyiwa huo upuuzi.
Hiyo ni sawa na kunyewa na kunguru

Bingwa atafungwa mechi 3 ,moja wapo ni hiyo tu
 

Attachments

  • 1789886654956.jpg
    1789886654956.jpg
    133.9 KB · Views: 1
  • 1789886616069.jpg
    1789886616069.jpg
    169.9 KB · Views: 1
Sesko kaanzia bench tangu anasajiliwa. Kwa Carrick ndiyo anapata minutes za kuanza


Unaongelea timu ambayo ilikua inacheza mechi moja kwa siku 9. Ikawa inacheza counter zaidi na assists za set pieces za kapteni wenu. Huo mfumo wa Amorim ndiyo Brighton wamekupiga nao, ndiyo Milan unawaweka mjini Italy na sasa mnamtaka Conte, muumini wa mfumo huohuo. Punguza hasira dogo.

Hakuna sehemu nimeongelea usajili. Mimi nimesema timu yenu mbovu.

Hujui kitu wewe. Hakuna cha mgomo kisa Rashford wala nini, timu ilitembelea kupumzika muda mrefu na upepo wa Amorim kwenye utimamu wa kimwili.

Juzi zimekuja takwimu zinaonyesha mpo nyuma kwenye ground coverage, nyuma kwenye kukimbia na Tielemans anasema mazoezi ya Villa ni magumu kuliko hapo united.

Wewe shabiki unasema tatizo ni Rashford
Hujui mpira mkuu kaa kimya. Sijaona analysis ya maana uliyoifanya. Huyu Rashford wako umemuona amechangia nini kwenye timu tangu aje?
 
Lazima pia ujue msimu uliopita ni kwa sababu mlikuwa hamshiriki mashindano yoyote ya Ulaya kwahiyo nguvu kubwa mkawekeza kwenye ligi ndio maana mkafanikiwa kuingia big 4 Sasa hivi mnamashindano mengi, depth ya squad ni ndogo, Bruno Fernandes kachoka katumika sana World cup pia na umri unachangia na huyu akiwa kwenye ubora na Man u inakuwa kwenye ubora. Unaweza kutetea lakini Usajili mlioufanya sio wa kuimprove kikosi wachezaji mliowaleta ni wa kawaida na baadhi ya maeneo mmeshindwa kuleta kabisa watu kama LB, RB na Striker mmoja.
Hii ni weak reason sababu hayo mashindano yenyewe ndio kwanza yapo mwanzo na wachezaji wametoka pre season.
 
Back
Top Bottom