Hii nadharia inaweza kua kweliLeo tunaendelea kutest ile nadharia ya nyumbu na simba wakicheza siku moja hawawezi kushinda wote
Kocha ndio tatizoBado tunaendeleza ujinga.
Bila kujali ubora wa kocha ila ukweli hamna wachezaji wamaana na hata Saini mlizofanya ni mbovu mmetoa pound 50 kwa Santos mkaa benchi mpaka leo mnaamini kwa Rashford ambaye ameshashindwa sijui Maguire,, Leandro Martinez,Yoro wote hawa ni average players mechi moja unatesa wow! mechi zingine unawakataa.saini nyingine ya kawaida ni Benjamin Sesko pale hamna mchezaji na ndio maana makocha hawamkubali.Hata mimi niliyepo huku Tanganyika niliona Carrick hafai toka mwanzo, lakini watu wapo hapohapo Manchester United Football Club, Sir Matt Busby Way, Old Trafford, Manchester, M16 0RA, United Kingdom na wakampa kandarasi! 🙃