Huna Cha kutushauri kuhusu UEFA wewe arsenalHapa sioni wa level yenu myayemmudu. Labda kidoogo huyo Saba sijui nane. Ila wengine wote watawachapa kinoma na mtashika mkia kundi lenu.
Hatuwezi kulia, man united me naamini tuna timu nzuri kuliko Yako.Level umlifikia ni mbaya wenzenu wanafanya Usajili wa maana nyinyi mmelizika baadae hatutaki lawama
Mchezaji wako Santos kwetu alikuwa anakaa benchi ndio ushindani na mimiHatuwezi kulia, man united me naamini tuna timu nzuri kuliko Yako.
Tusubrie game W5
Sie namba sita yetu ni balebaMchezaji wako Santos kwetu alikuwa anakaa benchi ndio ushindani na mimi
Mashabiki wa man u mpo serious kuliko wachezaji wenu shida inaanzia hapaSie namba sita yetu ni baleba
Weka combined X1 ya Chelsea na man u uone ipi ni timu bora
Na uangalie msimu uliopita nani alikuwa juu
Ni Imani binafsi lkn sio lzm nawe uaomini kama mm kaka
ILa wew jamaaπTutapiga kama ngomaView attachment 3658512
Na mwaka huu tunabeba ubingwa kwa penetration pass...π€£π€£π€£ Hakuna rangi tutaacha kuona, kweli Manjesta inachekesha kama sio timu yako.
Hakuna kitu inanaiuma na imenikosesha kabisa hamu ya Mpira kama Arsenyau kubeba kombe kwa dhulma, yaani timu haipati points 3 mpaka wapate mipira ya kona halafu wamsongesonge kipa ndio wapate goli.
Arsenyau mmeinajisi Epl kiasi kwamba imepoteza mpaka mvuto.
Mbuzi katoliki nyie.
Ulipotelea wapi wewe jamaaπ€£π€£π€£ Hakuna rangi tutaacha kuona, kweli Manjesta inachekesha kama sio timu yako.
Hakuna kitu inanaiuma na imenikosesha kabisa hamu ya Mpira kama Arsenyau kubeba kombe kwa dhulma, yaani timu haipati points 3 mpaka wapate mipira ya kona halafu wamsongesonge kipa ndio wapate goli.
Arsenyau mmeinajisi Epl kiasi kwamba imepoteza mpaka mvuto.
Mbuzi katoliki nyie.
Lewis hall ni uhakika ila newcastle hawawezi kumuachia kwa price ya kitumbua, itakuwa 80+ pesa ambayo united wataichungulia sana.Mpaka sasa ukimtoa Lewis hall unaona ni beki gani wa kushoto anaefaa kuja united
INEOS wakisajili mchezaji ambae atakuwa starter hela huwa wanatoa na naona wako smart, japo hawawezi kuwa kama ninavyotakaLewis hall ni uhakika ila newcastle hawawezi kumuachia kwa price ya kitumbua, itakuwa 80+ pesa ambayo united wataichungulia sana.
Usajili wa lewis ni kama ule wa shaw kipindi yupo soton, he was young and talented na price yake kwa young LB ilishangaza kwa kipindi kile, mpaka morinho alitema mbovu sana, kipindi glazer wanatoa ile pesa, shida ilikuja ni injury tu.
Je Ineos watatoa 80+ kwa hall?
Madogo wanakula 3+
πππ mwache Ally atoe tamko la matokeo bwana. Jamaa ana bahati sana ππMadogo wanakula 3+
Hawawezi kuitoa hiyo hela kwasababu walifanya uzembe kwa kushindwa kumchukua mapema hall Newcastle kabla Gordon,Guimares na Tonali hawajaondoka Newcastle.Lewis hall ni uhakika ila newcastle hawawezi kumuachia kwa price ya kitumbua, itakuwa 80+ pesa ambayo united wataichungulia sana.
Usajili wa lewis ni kama ule wa shaw kipindi yupo soton, he was young and talented na price yake kwa young LB ilishangaza kwa kipindi kile, mpaka morinho alitema mbovu sana, kipindi glazer wanatoa ile pesa, shida ilikuja ni injury tu.
Je Ineos watatoa 80+ kwa hall?
ILa wew jamaa.Kosi la kutajika la tajiri mkubwa bwenyeye Sir Jim wanashuka leo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha π π
My prediction
Manchester united 3 Vs Ipswich town 1
Watapigwa sana wale
Pigaaaa
Uaaaaaa
Chinjaaaa
fyekaaaa
malizaaaa
View attachment 3660115
π₯π₯π₯Kosi la kutajika la tajiri mkubwa bwenyeye Sir Jim wanashuka leo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha π π
My prediction
Manchester united 3 Vs Ipswich town 1
Watapigwa sana wale
Pigaaaa
Uaaaaaa
Chinjaaaa
fyekaaaa
malizaaaa
View attachment 3660115