Mapema sana kuwakatia tamaaMan utd ni takataka na msimu huu watapoteza point nyingi epl na uefa ajiaandae sana atapigwa tano
Chelsea tuna matatizo gn wakat hatujacheza mechi Ht moja?Huyo ni wa kumuacha tu.
Ameamua kutumia matatizo yetu kama furaha ya kumfanya asahau matatizo yake.
Hutak kukubali Chelsea ndio mabingwa wa dunia?Kituko sasa😆
Nyinyi hamna team Mashabiki mpo serious kuliko wachezaji tuliwaambia Carrick nguvu ya soda mkimpa mkataba biashara imeisha hata Sasa Kiko wapiThey ain't quick enough kabisa, ingiza Sesko, Toa msukuma Patrick Dorgu anazungusha rasta tu uwanjani...
Mtukufu hakimu ukiangalia angle na speed ya mkono....Nassoro Katuga naona utetezi wako.
So kwa mujibu wa utetezi wako unaiambia mahakama kwamba hili ni tukio la Messi akiua mbu aliyetua juu ya kichwa cha mpinzani wake?
View attachment 3655068
Bora umejua kuwa mwanzo wa kucheza ndio mwanzo wa matatizo.Chelsea tuna matatizo gn wakat hatujacheza mechi Ht moja?
Mnapata nguvu ya kucheka sio kwasababu timu zenu ni bora. Ni kwasababu timu zenu hazijacheza.🤣 🤣 🤣 🤣
Sasa forward mbeumo kiungo Bruno uchukue ubingwa upi?
Bado msimu mrefu Sana, ww ni timu gani Kwani?Nyinyi hamna team Mashabiki mpo serious kuliko wachezaji tuliwaambia Carrick nguvu ya soda mkimpa mkataba biashara imeisha hata Sasa Kiko wapi
Endelea kujifariji mkuu hata siku usipokuwa na chakula kukumbuka siku uliyokula vizuri inasaidia walau kusahau njaaHutak kukubali Chelsea ndio mabingwa wa dunia?
Mkuu Mashabiki wao wapo serious kuliko wachezaji wao shida inaanzia hapo 🤣 Tieleman wamemsajili maji ya jioni, Santos alikuwa hapati namba team yetu kwako Kawa starter na mapambio kibao, Baleba injury prone haiwezi kucheza mechi 4 mfululizo bila injury na alipata injury anakaa muda mrefu alafu wametoa pound 65m dah! Kule mbele hawana striker wa maana striker waliomsajili kwa pesa nyingi Sesko anakaa benchi huyu Kocha wa pili anampiga benchi alafu wakiitwa manyumbu wanaona kama wamenyanyaswaMpira hautaki feelings. Walidai wamesajili viungo wazuri kuliko Arsenal aliyesajili Bruno.
Hao viungo wazuri dk ya 66 wametolewa nje na mmoja kasababisha faulo iliyozaa goli
Nilichogundua wengi wao wanapoza machungu ya kupigwa msimu uliopita kwahyo kuanza kwa kufungwa msimu huu ni kama wanalipiza kisasi cha machingu yao...walimaliza msimu wakiwa na maumivu ya kufungwa na man utdMnapata nguvu ya kucheka sio kwasababu timu zenu ni bora. Ni kwasababu timu zenu hazijacheza.
Hiyo ni furaha ya muda mfupi, soon mtarudi kwenye hali yenu tuliyowazoea.View attachment 3655087
Mkuu kubalini mna kikosi cha kawaida Sesko mmemsajili takwimu zake ni ndogo tena katokea ligi nyepesi, Santos kwetu namba alikuwa hapati kwenu kaja kuwa starter, Tieleman maji ya jioni, Baleba injury prone, mpaka Leo kweli mnamtegemea Shaw seriousHii game Carrick kazidiwa mbinu alianza na kikosi cha hovyo kama anafanya majaribio
Pira haramu mkuu! Daah pole mzee500k yangu dah
Nyinyi hamna team Mashabiki mpo serious kuliko wachezaji tuliwaambia Carrick nguvu ya soda mkimpa mkataba biashara imeisha hata Sasa Kiko wapi