Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumia basi akili yako vizuri, toka Carrick achukue timu kuna kocha yeyote aliyemzidi point EPL? Sasa hiyo ishara yake nini?
Kuna huyu nyumbu alisema km Carrick angeanza msimu angechukua ubingwa kwa fact kwamba tangu alipofukuzwa Amorim, Carrick ndo kocha alieongoza kwa points! 😂

Haya tunaona ameanza msimu wake! 😂
 
H
Kuna huyu nyumbu alisema km Carrick angeanza msimu angechukua ubingwa kwa fact kwamba tangu alipofukuzwa Amorim, Carrick ndo kocha alieongoza kwa points! 😂

Haya tunaona ameanza msimu wake! 😂
Wewe ni chizi kweli na mpira hujui yaani mechi moja ndio unaanza kupiga kelele humu jukwaani acha ujinga. Hamkuongoza ligi msimu uliopita kwa point 12 baadae mkaanza kuomba dua timu zingine zipoteze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…