NtYga fuentte Mr Mike ze-dudu mateus Fernandes to Tottenham, here we go pound £85m waliyokua wanaitaka westham, with no adds on. pia mchezaji kulipwa pound £250k kwa wiki na pesa nyingine ya usajili pamoja na wakala wake. Sina mengi ila uongozi wa manunited, wanazingua sana. Leo siku nzima walikua wanafanya contact kwa mchezaji na wakala wake, ili iweje sasa. Nakama walikua hawataki,kutoa hiyo hela si wangemwacha tu.
Hapa ndio nimejua Ruben amorim, alikua sahihi kuhusu wamiliki wa united. Mchezaji hana msimamo, yeye anasema ataenda popote iwe man united au Tottenham. Na bado uongozi unaendelea kumshawishi, ni bora wangemtema kitambo tukaepusha hii dharau. Kama lengo ni baleba si wangesema tu. Dah ijapokua mateus Fernandes hana hiyo thamani lakini haikustahili tumpoteze kwa Tottenham ambaye alikua anaenda kushuka daraja.
Bora hata ingekua club nyingine kama psg au real Madrid.