Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Title contenders kimewalamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, gepu la pointi 6 na anaeongoza Ligi, Ubingwa mna kazi nayo
Mji utatulia kidogo kelele zitapungua!!
"Honeymoon is over"
 
Baada kushinda dhidi Newcastle wananuna Tena, si uchawi Tena huo, Man Utd tulkuwa pungufu uwanjani tumewafunga hivyo hivyo😸😸
 
Wacheza sebene🤣🤣
downloadfile-1.jpg
 
Ila kobi maino buana tu wakweli yule sio mido wa kumtegemea anamakosa mengi Sana ukiacha safe passess na Short pass

pale Kati inatakiwa mido wawili katili

luke Shaw aondoke tu chezaj linaogopa mpira wakat linacheza nafas rahisi kuliko zote
upo sahihi sana
 
Back
Top Bottom