Et naulizaJamani man u ataweza kweli kushinda hii game?
Huu upigaji wa bruno mbona kama amezila hivi![]()
Au sioNyumbu kipigo kipo pale pale japo halitakua kapu la magoli
Bado naiona nafasi pale juuNext game Epl mnakutana na city mnyamaView attachment 3526902
Bado naiona nafasi pale juu mkuuMan u awez ata kupata sare mbele ya arsenal
U turnMnakula chuma 3+ leo nyumbu
Sawa mzee😂🤣🤣Kumfunga city sio kwamba na arsenal utajipigia huo ni moto wa kifuuu
Sawa 😂🤣🤣Man u awez ata kupata sare mbele ya arsenal
😂🤣🤣SawaaKwa mpira gani mlionao wa kuiunga Arsenal
3:2Amueni wenyewe kesho tuwakande chuma ngapi?
😂Niwaulize tena "mseme wenyewe leo tuwakande chuma ngapi? "View attachment 3534239
Sawaa arteta....united ni master of counter attack...mara nying counter attack football haitabiliki.Baada ya kuifunga City mmepiga kelele nyingi Sana utadhani mmeshinda mechi 20 mfululizo kumbe ni mechi moja Tu
Hizo kelele zenu zinaenda kuzimwa Leo pale Emirates