Et naulizaJamani man u ataweza kweli kushinda hii game?
Huu upigaji wa bruno mbona kama amezila hivi [emoji3]
Au sioNyumbu kipigo kipo pale pale japo halitakua kapu la magoli
Bado naiona nafasi pale juuNext game Epl mnakutana na city mnyama[emoji2]View attachment 3526902
Bado naiona nafasi pale juu mkuuMan u awez ata kupata sare mbele ya arsenal
U turnMnakula chuma 3+ leo nyumbu
Sawa mzee😂🤣🤣Kumfunga city sio kwamba na arsenal utajipigia huo ni moto wa kifuuu
Sawa 😂🤣🤣Man u awez ata kupata sare mbele ya arsenal
😂🤣🤣SawaaKwa mpira gani mlionao wa kuiunga Arsenal