Nipo hapa
Tutaua mtu leo sisi manjestaNipo hapa
Hilo neno ni nuksi kwenye matokeo ya nyumbu, ushawaharibia kazi[emoji2][emoji2]Nyumbu tushindwe wenyewe leo, naiona nafasi pale juu [emoji23]
Nyumbu leo tunashinda nyingi sana mkuu 😂Hilo neno ni nuksi kwenye matokeo ya nyumbu, ushawaharibia kazi[emoji2][emoji2]
"Wakuu naiona nafasi pale juu"Nyumbu leo tunashinda nyingi sana mkuu [emoji23]
Hakika mkuu, mwnyw naiona nafasi pale juu 😂"Wakuu naiona nafasi pale juu"
Tunaua kima yeyote anae katiza mbele yetu sisi ndio manjestaBaada ya kuifunga City mmepiga kelele nyingi Sana utadhani mmeshinda mechi 20 mfululizo kumbe ni mechi moja Tu
Hizo kelele zenu zinaenda kuzimwa Leo pale Emirates
Manyumbu awakosekani mkuuMnyumbu fc yapo humu
Usije tokomea lakiniPicha za saa 3 usiku zimeanza kuvujaView attachment 3534275
Iyo haipingwi 💪Baada ya kuifunga City mmepiga kelele nyingi Sana utadhani mmeshinda mechi 20 mfululizo kumbe ni mechi moja Tu
Hizo kelele zenu zinaenda kuzimwa Leo pale Emirates
Tayari uko mkuuUsije tokomea lakini