Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,392
- 2,878
Chama Lina hamasa.Chama limeanza kurudi kwenye enzi zake sasa.
Mdogo mdogo heshima inaanza kurudi.
Sema amorin alijitahid kweny usajili na pia katufumbua umuhimu wa kusajili ndani ya EPL
Chama Lina hamasa.Chama limeanza kurudi kwenye enzi zake sasa.
Mdogo mdogo heshima inaanza kurudi.
Huyo jamaa kosa lake lilikua mfumo wake tu 352 ulikua mfumo wa kipuuzi sana, na laiti tungeendelea kumchekea angetushusha daraja.Chama Lina hamasa.
Sema amorin alijitahid kweny usajili na pia katufumbua umuhimu wa kusajili ndani ya EPL
Chama Lina hamasa.
Sema amorin alijitahid kweny usajili na pia katufumbua umuhimu wa kusajili ndani ya EPL
AmnaChama Lina hamasa.
Sema amorin alijitahid kweny usajili na pia katufumbua umuhimu wa kusajili ndani ya EPL
Naona hamasa ni kubwa kwenu, mkiendelea hivi mnaweza kuingia Top 4 ili mwakani mkacheze UEFA champions leagueBado naiona nafasi pale juu
Red Card?Wazenge mmeanza kubebwa
Wanangu mpo on fireRed Card?
Saint Anne wew binti kwa unafiki upo vizuri sana. Pambaneni mpate kocha wa kueleweka. Mkiendelea kubaki na shaolini monk (slot) second leg old Trafford mtaeleza kwanini bata huwa ana halisha maisha yake yote.Nyumbu wameshinda
Dunia nzima tunayo furaha