King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Yaani mashindano tuandae sisi bado tukupitishe as best looser huku tukijua hua unatupa utamu kwenye game zote tulizokutana hivi karibuni. Alafu unajifanya kutukazia.Nani alitoa hiyo hela? Kama ni Morroco walikua na sababu gani ya kutoa hela?
View attachment 3526291