Ontuzu
Senior Member
- Jun 26, 2009
- 120
- 120
Hawa caretakers wanaorudi wali excel sana pindi walipokua na timu acha walewe kwa mara nyingine on urgency basisHalafu mnaleta caretaker wale wale 😂 narudia timu hii HAITOKAA ipate mafanikio Hadi timu ipewe wamiliki wengine (waarabu) wabadilishe kila kitu kuanzia kule juu kulikooza zaidi Hadi huku chini.

