Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

makocha wengi hawapendi kuingiliwa majukumu yao ,wanapenda wao nd waamue karibu kila kitu kinachohusu wachezaji.. nadhani hi ya kuweka vitengo vingi kwenye muundo wa kiuongozi wa timu kwa kiasi fulani inaminya authority's decisions za makocha.. na wengi wao huwa hawakubali.
 
Kwa majeruhi tulionao sasa binafsi Naona kocha alijitahidi sana. Sijui huyu care taker kama ataweza. Mfano mechi ya juzi Sesko Anamosa Masoli ya wazi sasa hap kochi afanyaje?
 
Mwamba aingilie katii
1000265871.jpg
 
Aisee nadhani huyu kocha hajafanyiwa fair ..nimesikitika sana kuondoka kwake moja ya makocha bora sana waliondoka kwa namna ya ajabu
Kwa kikosi alichokua nacho wamemuonea haswaa, kuna mchezaji anaitwa Yoro dah! nikimuangaliaga huwa acheka, kalegea kama anashindia biskuti, eti ndio utegemee amzuie halland, kweli?? Kuna chezaji jingine linaonekana vuta bangi kbs Dorgu sijui.
 
Aliletwa na nani?
 
Back
Top Bottom