KOROSHO BOMBA
Senior Member
- May 11, 2024
- 138
- 226
Hii Manchester inapeleka moto mda woteMechi haangalii anasubiri matokeo tu
Hii Manchester inapeleka moto mda woteMechi haangalii anasubiri matokeo tu
Tunawasubiri hapaBado naiona nafasi pale juu wakuu
Bado naiona nafasi pale juuTunawasubiri hapaView attachment 3521367
Hapa game ngumu kwa man u ni hiyo ya arsenal na mancity hivyo Ruben na wachezaji wake wakitulia vizuri wanachukua point 20.Tunawasubiri hapaView attachment 3521367
Arsenal inafaa tumfungeHapa game ngumu kwa man u ni hiyo ya arsenal na mancity hivyo Ruben na wachezaji wake wakitulia vizuri wanachukua point 20.
Arsenal wanaratiba ngumu sana hivyo tukimfunga itapendeza.Arsenal inafaa tumfunge
Kila lakheri mazeeHapa game ngumu kwa man u ni hiyo ya arsenal na mancity hivyo Ruben na wachezaji wake wakitulia vizuri wanachukua point 20.
Bado naiona nafasi pale juu wakuu
Bado naiona nafasi pale juu wakuu