Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Saaba. Kama si nane au sita.

Angalia hizi...

http://www.barriesview.com/2013/03/david-moyes-statistics-at-everton

http://www.sbnation.com/soccer/2013/5/9/4311764/david-moyes-everton-retrospective
 
Unajua ameshika nafasi ya nne na kwenda UCL?

Unajua iliitoa Everton kutoka kwenye timu iliyokuwa ikifight relegation kila msimu kabla yake?

natambua kashika nafasi ya nne mara 1 na bahati mbaya hakushiriki UCL kutokana na Liverpool kuingia kama bingwa mtetezi msimu uliofuata so hayo ndiyo mafanikio yake makubwa kinyume na hapo ameisaidia everton kuwa timu ya kati.
 
.....aaaahhh kaka, tafuta Mbu na um quote alipoandika ubingwa ni wetu!
Am a realist maazeee,....

Optimists ndio waliodhani huenda kwa matokeo yale tungechukua ubingwa...

Anyway, je....weye #Bingwa mtetezi na #TheChoosenOne wenu kweli ulitegemea Kuwa hapo mlipo kweli?

#MosKwito !

Sema ukweli, sikuwa na matumaini ya ubingwa mwaka huu..zaidi ya angalau kuwa ndani ya nafasi nne za juu...

Na sikutegemea kuwa nafasi ya saba...

Ndiyo maana nikasema, msimu huu tumefail...

Tunajipanga kwa msimu ujao...ndio maana sasa kwa hali ilivyo, sitaki hata Europa..
 
Last edited by a moderator:
Sema ukweli, sikuwa na matumaini ya ubingwa mwaka huu..zaidi ya angalau kuwa ndani ya nafasi nne za juu...

Na sikutegemea kuwa nafasi ya saba...

Ndiyo maana nikasema, msimu huu tumefail...

Tunajipanga kwa msimu ujao...ndio maana sasa kwa hali ilivyo, sitaki hata Europa..

Ndio ukubwa huo mkuu. Kubali yaishe
 
natambua kashika nafasi ya nne mara 1 na bahati mbaya hakushiriki UCL kutokana na Liverpool kuingia kama bingwa mtetezi msimu uliofuata so hayo ndiyo mafanikio yake makubwa kinyume na hapo ameisaidia everton kuwa timu ya kati.

Duh! Chifu, kama hujui sema usaidiwe...

Everton 2004, walishiriki qualifying round ya kwanza UCL na kutolewa na Villareal...

Unajua alipoitoa Everton?
 
Angalia hizi...

http://www.barriesview.com/2013/03/david-moyes-statistics-at-everton

http://www.sbnation.com/soccer/2013/5/9/4311764/david-moyes-everton-retrospective

nisaidie kuziweka hizo link vizuri mkuu maanna natumia sim halafu naona inazingua kuingia.
 
Sema ukweli, sikuwa na matumaini ya ubingwa mwaka huu..zaidi ya angalau kuwa ndani ya nafasi nne za juu...

Na sikutegemea kuwa nafasi ya saba...

Ndiyo maana nikasema, msimu huu tumefail...

Tunajipanga kwa msimu ujao...ndio maana sasa kwa hali ilivyo, sitaki hata Europa..

......anyway, angalau mlitwaa #CharityShield banaa...

#MosKwito !
 
Watu wanasahau Moyes alipoitoa Everton na kumpa credits zote Martinez, aliyeishusha daraja Wigan!!

Je, siku Wenger akiondoka goons, halafu akaja kocha na kuchukua makombe matatu msimu wa kwanza, mambo aliyofanya Wenger yatasahaulika?
 
Duh! Chifu, kama hujui sema usaidiwe...

Everton 2004, walishiriki qualifying round ya kwanza UCL na kutolewa na Villareal...

Unajua alipoitoa Everton?

nashukuru kwa kunisaidia hiyo takwimu ya 2004, kuhusu alikoitoa Everton ndio maana nimesema kaisadia kuwa timu ya Kati hayo ndiyo mafanikio yake makubwa.
 
Watu wanasahau Moyes alipoitoa Everton na kumpa credits zote Martinez, aliyeishusha daraja Wigan!!

Je, siku Wenger akiondoka goons, halafu akaja kocha na kuchukua makombe matatu msimu wa kwanza, mambo aliyofanya Wenger yatasahaulika?
Ndio maana wanaopiga kelele eti /moyes aondoke ManU hawajui soka.
 
Back
Top Bottom