Amegombana na mwenzake (michael kean) ....sasa kwenye kumsukuma akawa kama karusha kakibao ivi kwenye uso wa Kean...bahati mbaya refa akaona hakua mbali ....Wazee, jamaa kapewa Red card ya nini
Ndio ndio mkuu, dalili zipo wazi tunaelekea pazuri 😂Naamini tunaelekea kuzuri sasa dalili zipo wazi.
Labla mshindie maharageLeo tunashinda
Bado hamna shabiki wa United anayeweza kutofautisha bahati na system kutikiWakuu mbona kama njia nyeupeeeee
Au nimeiona mimi tu peke yangu
SAsa hivi lawama za back 3 zitaanza upyaLeo tunashinda
Huu muda hatuna kwa sasaSAsa hivi lawama za back 3 zitaanza upya
Vp maumivu uliyopewa yanaendeleaje 😂Watanipa maumivu sana
Njia ni nyeupe, ila mmekosea njia 😂Wakuu mbona kama njia nyeupeeeee
Au nimeiona mimi tu peke yangu
Maumivu yana mtindo wa kuishaVp maumivu uliyopewa yanaendeleaje 😂