NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,965
- 12,757
Pole kaka.Watanipa maumivu sana
Pole kaka.Watanipa maumivu sana
Sijawahi kutizama mpira kwa hasira kama Jana, maana kila mpira unapoelekea nawaona hao wapuuzi mbele ZIRKIZEE, kati DORGU + CASEMIRO anapoteza mipira Hovyo mpira ukirudi nyuma DALOT + SHAW 😡.Zirkizee, dalot, shaw, dorgu, hawa hapana aisee .......sio watu wa kucheza manutd
Huyo pogba mpira anajua kwaniKuna siku hii timu ilishika nafasi ya pili X zikazagaa tweets zikisema 'We are only two points against first place Arsenal. Title race is on'
Nilicheka nikamkumbuka Pogba alivyosema hawa hawajui mpira
unamuonaje semenyo?..?Tusajili sana, dirisha dogo sajili mbili za maana, kubwa sajili sita
Kikosi bado
Super...atafaa kucheza 2 za juu lakini sio LWB au RWB.unamuonaje semenyo?..?
𝐖𝐡𝐚𝐫𝐭𝐨𝐧 ⚖️ 𝐄𝐥𝐢𝐨𝐭 𝐀𝐧𝐝𝐞𝐫𝐬𝐨𝐧Super...atafaa kucheza 2 za juu lakini sio LWB au RWB.
hata yeye hataki kucheza kama RWB
Liverpool wanamtaka zaidi, me naona tupate viungo wawili Baleba na Wharton au Baleba na Eliot Anderson
Me naenda na Wharton.𝐖𝐡𝐚𝐫𝐭𝐨𝐧 ⚖️ 𝐄𝐥𝐢𝐨𝐭 𝐀𝐧𝐝𝐞𝐫𝐬𝐨𝐧
nikifika kwenye huu uchaguzi nichukue nani 𝐍𝐀𝐂𝐇𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀 😶.
Huyo Dogo hapo Juu nimetuma Link yake Rodrigo Mora umemtizama?..?, na unamuonaje?..?Me naenda na Wharton.
Me naenda na Wharton.
mimi Piah ujue huyu dogo nilishamuona kitambo nikampuuzia ila baada ya muda kuna mtu humu akam Recommend nazani ni DaemushinMe naenda na Wharton.
Ngonja nimuone...nakuja kukupa mtazamo wangu badae kdgHuyo Dogo hapo Juu nimetuma Link yake Rodrigo Mora umemtizama?..?, na unamuonaje?..?
Dogo offensively ana sifa za amad diallo au zaidi...ni kiungo super, huyu anatufaa japo Kwa umri wake unakosa uhakika wa jinsi atakovyokuwa kwetu...mimi Piah ujue huyu dogo nilishamuona kitambo nikampuuzia ila baada ya muda kuna mtu humu akam Recommend nazani ni Daemushin
Yeah sema sikumbuki source husika, Tena Dogo anapiga miguu yote ana stamina pia mala moja moja anapataga nafasi Portugal U21.Dogo offensively ana sifa za amad diallo au zaidi...ni kiungo super, huyu anatufaa japo Kwa umri wake unakosa uhakika wa jinsi atakovyokuwa kwetu...
Anafaa sana.
Kwani kuna tetesi za sisi kumtaka??