lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Shida ni nini saikolojia ama maana hii timu ni kubwa kuliko wao wanavyofikiria kabla hawajasajiliwa
Nafikiri kisaikolojia wachezaji wote hawapo sawa, ukiwatazama uwanjani ni kama wote huwa wanapigwa na butwaa hawajui nini wanatakiwa kufanya.
Pia inaonekana wameshindwa kuhimili presha ya mashabiki na wachambuzi, hii imewafanya wawe waoga sana ndani ya uwanja na ndio maana wote wanaogopa hata kujaribu kutembea na mpira na kujaribu kutengeneza nafasi, hebu muangalie Mbuemo wa MUFC halafu rudi ukamtazame wa msimu uliopita utaona tofauti, amekuwa muoga hata kujaribu yale mambo yake. Cunha nae naona anajaribu kufanya vitu vyake ila muda sio mrefu ataanza kuwa muoga.
Uoga na kutokujiamini kumefanya wachezaji wetu waishie kwenye mbinu za kocha tu, wanaishia kupiga vipasi ambavyo havina maana wala havina uelekeo na wakiwa na mpira unajua kabisa sekunde wanaporwa.