Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Barobaro boys leo tena kukiwasha

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3

Watapigwa sana wale wakora
 

Attachments

  • 1758968342973.jpg
    1758968342973.jpg
    143.7 KB · Views: 20
  • 1758968342973.jpg
    1758968342973.jpg
    143.7 KB · Views: 15
Barobaro boys leo tena kukiwasha

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3

Watapigwa sana wale wakora
Haya, bado yenu matatu.
 
Tatizo la MUFC ni kubwa sana, wachezaji hawajiamini hata kidogo, wanacheza kama wamebeba dunia katika vichwa vyao.
 
Tatizo la utd ya sasa ni kocha na wala sio wachezaji. Ubora wa Mdeumo, Cunha na Sesko unafahamika ila kwa sasa hakuna wanachocheza, kifupi ni kuwa wachezaji hawafurahi nfumo wa kocha ni kama unawanyima kucheza. Kwa hawa wachezaji wa sasa tukipata kocha mwenye DNA ya utd kama Rud van Nestroy tunarud kweny heshima yetu.
 
Back
Top Bottom