King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,066
- 5,278
Casemiro anaweza kutukosti sauna maana timu yetu ni ngumu sana kushikilia bomba. Maana baada ya red card ya casemiro chelsea wameanza kutushambulia vibaya mno.
Casemiro anaweza kutukosti sauna maana timu yetu ni ngumu sana kushikilia bomba. Maana baada ya red card ya casemiro chelsea wameanza kutushambulia vibaya mno.
Umewaona wa Man Utd pekee yao au mpaka na Chelsea? Ulimuona Reece James hapa mwishoni?Shida ni nini mfumo ama
Mbona wachezaji wamechoka hivi
Ila jitahidini majirani kushindashinda....bado Kila tukichungulia kilingeni tunaona kabisa safari hii mnamaliza wa 16 kwny ligi🤠🤠Mara ya mwisho Chelsea kutufunga kwenye hapa matofali ya kuchoma, hayati Magufuli alikuwa Waziri wa UjenziView attachment 3476790
Gari ndio imekolea moto hiyooIla jitahidini majirani kushindashinda....bado Kila tukichungulia kilingeni tunaona kabisa safari hii mnamaliza wa 16 kwny ligi🤠🤠
Tumeua😅🫠 ndiyo chama la wana 🫢
😁😁😁Tumeua😅