Ila huu mfumo wake wa 3-4-3 ....naona kama unawasumbua wachezaji .....yaani hawaelewi sijui wanachotakiwa kufanya kwenye huo mfumo ama Kocha mkali Sana .....or vipi....
Mfano mpira unapoanza kwa wapinzani mbele wanakuwa watatu ......Timu zinazocheza back 4 inakua ngumu kuwakaba kwa kupress sababu wanabaki na mtu Mmoja....free
Tukianza sisi mpira kutoka pia inakua shida kweli kweli .....tukipresiwa.....
Sijui mwalimu anafoka Sana au vipi maana watu hawapo comfortable na BOLI .....plus Bruno wangechukua tu Ile hela ya wale waarabu .....anapoteza mipira Sana ....na mfumo wa huyu Br unataka viungo muwe wasolid hampotezi potezi BOLI... Manutd wangepata vijana wawili swaafi kabisa ....wakakiwasha pale kati.