Game ya leo shida ilikua ni kocha na allypipi
Ndugu yangu allypipi naona leo bahati mbaya air defence system zilimnasa wakati akijitahidi kupenya kwenda kutafuta goli 3 zilizosalia.
Shenzi nyinyi hamjamsikia pole pole?, nendeni ccm mkaunganishwe kwenye li waya muwe mnashinda game zenu kwa wizi au nyinyi ndio wana mtandao nyumbu's. Kwanza amkeni mtoke humu ndani mnatumalizia hewa.
Ni kweli tatizo linaweza kuwa sio mfumo ila timu yetu inakosa balance hapa lazima moja kati ua Cuhna au Bruno awe anaanzia bench au Brino asepe af kocha aache kunanzisha Mount huku straiker anaaznzia bench.