Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpira wa Bruno umenipita hapa maeneo ya gongo la mboto uko Kasi kwli😀😀😀....ile penalty yule lofa alikuwa anakusudia nn
Alishawahi kupiga kama Ile Kipindi cha Ten Hag, Bruno ni mchezaji Yuko na emotional Sana, ana temper mbaya Sana ambayo sometimes inatucost kama timu.
 
Mpira wa Bruno umenipita hapa maeneo ya gongo la mboto uko Kasi kwli😀😀😀....ile penalty yule lofa alikuwa anakusudia nn
Tatizo la Bruno ni moja. Amezidisha kiburi na kujiona bora kuliko wenzake. Hii game ya Man united ina presure kubwa kuliko mechi zingine zote.

Man u wanatakiwa watulize wenge wasicheze kwa kukamia but hii man u bado sana. Na leo msipokuwa makini mnalala na viatu. Fulham wakipata goli tu basi mmeisha mtachezabkwa kupani then wanapata nafasi ya kuwakanda tena. 😂😂😂😂

Mwisho kwakweli huwa nafurahi mnavyoteseka sana. 😂😂😂😂
 
Man u Leo hawana ubunifu kabisa kwenye safu ya ushambuliaji, hawatengenezi nafasi. Hapa hata sesko akiingia itakuwa kazi Bure.
 
Kuna uwezekano game ya man u vs arsenal, ni arsenal walicheza vibaya na sio vinginevyo
nyie jamaa mmewapa man utd matumain makubwa sana ila kiukweli hii timu ina shida 3-5 nzito
1 bruno
2 hakuna Dm bora hapo kati ni makida makida tu
3 hakuna chemistry in attack wako wako tu itawachukua muda sana ku settle
4 kipa aisee
5 kocha ni mbishi hataki kuwa flexible kubadili formation itakuja kum cost timu inacheza hairidhishi hata
 
Hadi kwa Ozil?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…