Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Oyaaa

Ni humu tu mmaaee 😂😂😂
56369.png
 
Kichaka kimeshajulikana tayari, Wale kina Berrada wapo dilemma maana ukimuacha Carrick utalaumiwa halafu ukimfukuza pia utalaumiwa, It's obvious sasa hakuna mahali pa kujificha, Leo Carrick mashabiki wameimba jina lake na wachezaji wamezomewa...

Kila mmoja united kuanzia mgt Hadi wafanya usafi ni kama wamechanganyikiwa..
 
Back
Top Bottom