Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,929
Bila kusajili viungo walau wawili tutateseka sana msimu mpya
Ona jinsi Leeds Utd wanavyotupika
Ona jinsi Leeds Utd wanavyotupika
Ngapi ngapi huko mkuuBila kusajili viungo walau wawili tutateseka sana msimu mpya
Ona jinsi Leeds Utd wanavyotupika
0-0 Man U ni ile ile na vilio vitakua endelevuNgapi ngapi huko mkuu
Tuna safari ndefu sana sema mie nashukuru hatushiriki mashindano makubwa kama UEFA msimu ujao maana tungezalilika sana, hivyo ni bora msimu ujao tuwepo tu kwenye ligi,FA na carabao. Amorim atapata mda mzuri wa kusuka kikosi chetu ila tunahitaji sana striker na kipa kwanza.0-0 Man U ni ile ile na vilio vitakua endelevu
Tuna safari ndefu sana sema mie nashukuru hatushiriki mashindano makubwa kama UEFA msimu ujao maana tungezalilika sana, hivyo ni bora msimu ujao tuwepo tu kwenye ligi,FA na carabao. Amorim atapata mda mzuri wa kusuka kikosi chetu ila tunahitaji sana striker na kipa kwanza.
Ni kweli kabisa lakin striker na kipa ni muhimu sana kwa sasa, tukipata kiungo mkabaji afu kipa onana what do you except, kumbuk na (ffp) wanatuangalia ndio maana kwa mbeumo tunalipa 4 installments hivyo ni lazima tuanze ligi tukiwa tumeziba vilaka sehemu muhimu kwanza.Hatuna kiungo mkabaji🙌
We njooNyie akinamama!, yani mmeshindwa hata kumfunga Leeds na Kunya wenu ndani, sasa mtamfunga nani? Mkija kukutana na wazee wa FIFA CLUB WORLD CUP si mtadhalilika nyie.
Fala tu huyoGyokeres here we go
Gyo anaitaka arsenal lakin yenyewe haimtaki ...sababu kama wangekua na Nia kweli wangeonesha ushirikiano na kuongeza hela..hii dharau Sasa...kwanini asije tu man uBado namba 1 na namba 9.
Sijajua kuhusu kiungo namba 6 waliopo kama hawatatuangusha
KWANINI unamtukana mkuuFala tu huyo
Muache aende huko uturuki...UTD waache ubahili, vuta Osimhen weka hapo
Kwanini, tumtake mchezaji ambae hataki kuja kwetu anataka kwenda arsenal, bora tuweke nguvu kwa sesko sababu pia umri bado mdogo.Gyokeres here we go
Mie naona hata arsenal wakimtosa asije kwetu, sababu huwezi kumlazimisha mchezaji ambae hataki kuja club yenu.Gyo anaitaka arsenal lakin yenyewe haimtaki ...sababu kama wangekua na Nia kweli wangeonesha ushirikiano na kuongeza hela..hii dharau Sasa...kwanini asije tu man u
...