Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,523
Mkuu tuchel aliwezaje?Kinachomuua amorim ni formation, ni the same mistake ambalo tenhug alikuwa anafanya, kuanza na mabeki watatu nyuma ni kosa kama unacheza epl, haswa kama kiungo ni cha hovyo
Asikilize opinion else team itashuka daraja