Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii game West Ham washinde. Niliwatakia nyie mmalize nafasi ya 17, tena mpone kuwa 18 kwa goal difference tu, ili muwe na wakati mgumu wa kuponea chupuchupu kushuka daraja. Ila mmepona kwa points nyingi tu kuliko nilivyotaka lakini mpango mzima ni mmalize wa 17 halafu somehow pia mshinde Europa mje kule Champions League muwe mnagawa points 3 kwa kila mtayekutana nae.
Hii mechi ni ngumu sana kwetu ila sio kesi itoshe kusema kuwa una roho mbaya sana ndugu
 
Huu ndiyo ungekuwa msimu wa 2022/23 United kule chini angeshuka daraja, maana kwenye relegation battle watu wangeshikana mashati. Msimu huu kule chini wote wabovu kwelikweli.
 
Huu ndiyo ungekuwa msimu wa 2022/23 United kule chini angeshuka daraja, maana kwenye relegation battle watu wangeshikana mashati. Msimu huu kule chini wote wabovu kwelikweli.
Ulienda Brighton, ukarudi huku. Je utarudi tena Brighton kabla msimu haujaisha?
 
Muendelee kupigwa hivi hivi mpaka msimu ujao. Uwanja mpya wa watu laki moja mtajenga na mtakuwa mnacheza bila mashabiki.
 
Kweli Man Utd na ndugu yake Tottenham hawajaonewa kuwa majirani kuanzia Ligi hadi Europa. Kweli ndege fanananioa....
 
Tatizo ni Amorim au wachezaji wetu hawana uwezo wa kutoshana nguvu na timu za Premier league.

Tottenham hotspurs tutaweza?
Msimu huu wametufunga mechi 3 na tuna muda mrefu hatujawafunga.
 
Tupo kwenye mode ya ku survive tu, tuna uhakika wa kubaki ligi kuu, imagine jinsi tulivyofilisika Hadi akili tuna furahi kubaki ligi kuu maana msimu ulikuwa mzito sana huu.

Tusiposhinda hili kombe ni Bure kabisa, lazima tufanye jitihada tulichukue.
 
Kuna Manchester United ya Europa league na Manchester United ya ENglish Premier league, ni vitu viwili tofauti kabisa kiuchezaji na matokeo.
Europa ni unbeaten hadi tunafika fainali, EPL kila timu inajifunzia mbinu mpya kwetu na matokeo yanaonekana.
 
Back
Top Bottom