Gunacho ameyeyusha sana, tangu mwanzo ilipaswa Amad awe ameanza
Garnacho ni umakini anakosa, anakuwa na wenge lakin still ni mchezaji mzuriNasikia napoli na chelsea wanamtaka ganacho, ushauri wangu siku jamaa kama wataweka pesa nzuri man utd wapite nayo tu, pesa yake aletwe mchezaji killer mbele ya goli
rolls royceĀ£52M looking like a bargain! š.
#šš§šŖšØš©ššššš§š¤šššØšØšššµš¹
#šš£šš©šššš¤š§š©ššššš£šØš
#šš”ššÆšš§šššā©
#šššššŖšæš¶
ššš§ ššš |
View attachment 3328531
Aletwe nani killer kuliko Garnacho ?Nasikia napoli na chelsea wanamtaka ganacho, ushauri wangu siku jamaa kama wataweka pesa nzuri man utd wapite nayo tu, pesa yake aletwe mchezaji killer mbele ya goli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora watupe Inter Milan tucheze nae fainali, huyo Spurs mtakuja kusema humu kua tumemuonea tu.Nyie Nyumbuzi hivi mnajua Spars wanalihitaji hilo kombe kuliko uhai?
Poleni sana kwa vituko vyenu vya wait for next season.Punda kabisa
Asante ila punda kabisaPoleni sana kwa vituko vyenu vya wait for next season.
Nani anajali sasa, maana hatutakubali kufungwa mara ya 4 tena.Nyie Nyumbuzi hivi mnajua Spars wanalihitaji hilo kombe kuliko uhai?
Uwezo wa kumfunga Spars nyie hamna, siku hiyo mkifungwa chache goli 4.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora watupe Inter Milan tucheze nae fainali, huyo Spurs mtakuja kusema humu kua tumemuonea tu.
Huyu Mason Mount tunawashukuru sana VIBONDE wetu Chelsea kwa kutuuzia Aiseeeh! Hata Lamine Yamal na mwenzie Bukayo Saka hawafikii hata nusu ya ubora wake... UEFA wanapaswa kuandaa special award kwa ajili yake... very gifted.
Manchester ina wachezaji wenye quality kubwa sana aiseeeh! Imagine hapo Amadinho Diallo kiwango anachokionesha ndio cha kutoka injury na yupo moto vile, msimu ujao mtaongea mengi sana humu....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sawa sisi uwezo hatuna ila nyie mnao uwezo wa kuwafunga kina Masebene na Real Betis yake.Uwezo wa kumfunga Spars nyie hamna, siku hiyo mkifungwa chache goli 4.
Na bado fainali atajikata manyangaNaona šš alienda kung'aka Half Time plus kugawa makonde kwa anakina Garna Maana hiyo Bandageš¤š¤ā.View attachment 3328528
Ukiangalia spurs ina wababa sio poa sasa vichezaji vingi vya manchester ni kilo 40 kushuka chiniš šNyie Nyumbuzi hivi mnajua Spars wanalihitaji hilo kombe kuliko uhai?