Wtf rice is doing here🤣🤣Sir Alex Ferguson was in attendance for PSG vs. Arsenal at the Parc des Princes 👀
Babu alikuwepo Ufaransa kuwacheka WENGER ORPHAnN'S 😃🤣😁.
.
𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝐑𝐀🇵🇹
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨𓀃
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏➩
#𝙂𝙂𝙈𝙐💪🏿😶
𝐌𝐚𝐧 𝐔𝐭𝐝 |
View attachment 3328305
walinikera walipowekwa Goli nikaacha ku STREAM kwanza wasile Bundle langu Baadae Roho ikaniuma nikasema acha niwaangalie Tu Pimbi hawa nakuta 𝟐 - 𝟏 mala hapo hapo 𝟑 - 𝟏. sijui wanakuwaga wapi kuleta Furaha mpaka wastuliwe na kimoja 🤣🤣.Team la Dunia linakupa kila kitu kuanzia presha adi furaha😃😃😃
Hii kumesa ngumu 😂😂Wanangu mnawajua bolibao? 😁😁😁😁😁
Huyu kocha valverde nilimpenda toka akiwa Barcelona
Huruma manchester united zikipungua sana leo mnakula tano uku bruno akila umeme😁
Duuh...pole.Wanangu mnawajua bolibao? 😁😁😁😁😁
Huyu kocha valverde nilimpenda toka akiwa Barcelona
Huruma manchester united zikipungua sana leo mnakula tano uku bruno akila umeme😁
Me mwenyewe nimejitutumua kwenda banda umiza mpira wa first half nikasema bora ningelala tuu😃😃walinikera walipowekwa Goli nikaacha ku STREAM kwanza wasile Bundle langu Baadae Roho ikaniuma nikasema acha niwaangalie Tu Pimbi hawa nakuta 𝟐 - 𝟏 mala hapo hapo 𝟑 - 𝟏. sijui wanakuwaga wapi kuleta Furaha mpaka wastuliwe na kimoja 🤣🤣.
Hatujajua kocha anawaza ninianthony anarudi au vp
wana-betis wanamuelewa sanaHatujajua kocha anawaza nini
Man u wamesema kama wanataka wabaki walete hela no loan tena...wana-betis wanamuelewa sana