King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,093
- 5,325
Mda utaongeaKazi mnayo mwaka huu mtatia huruma mpaka basi
Mda utaongeaKazi mnayo mwaka huu mtatia huruma mpaka basi
Pumbavu kaweke kambi za kisabato.Naweka Kambi hapa najua hamuwezi kushinda
Naweka Kambi hapaPumbavu kaweke kambi za kisabato.
Sure, itakuwa balaaNa spurs nae tayari ameshampiga Bodo goli 2, Fainali Man Utd tukikutana na Spurs mechi itakua ngumu sana, maana wote tumewekeza nguvu zote Europa kwa ajili ya kushiriki Uefa msimu ujao.
Sawa KhanjibaiWanangu mnawajua bolibao? 😁😁😁😁😁
Huyu kocha valverde nilimpenda toka akiwa Barcelona
Huruma manchester united zikipungua sana leo mnakula tano uku bruno akila umeme😁
Sawa 😁Naweka Kambi hapa