Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
Hamna team hapo mkuu, 😃Daah hili team ni mbovu kishenzi
Hamna team hapo mkuu, 😃Daah hili team ni mbovu kishenzi
😁Nyumbu limechoropoka
Bolibao?Wanangu mnawajua bolibao? 😁😁😁😁😁
Huyu kocha valverde nilimpenda toka akiwa Barcelona
Huruma manchester united zikipungua sana leo mnakula tano uku bruno akila umeme😁
Hadi mchana unakuwa ndotoniKesho tutateseka sana lakini final tutaingia
GGMU
usajili wa dirisha hili ni moto....2027 tutakuwa mabingwa EPL
Bilbao boss ile ya william brother'sBolibao?
SawaBilbao boss ile ya william brother's
Mazurui leo atakaangwa Sana na william jr
Kazi mnayo mwaka huu mtatia huruma mpaka basiSawa