Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Williams this Williams that nyenyeeeeenyeee.
Hilo liko wazi Bilbao baada ya red card wakaamua kutunza nguvu za second leg[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa jamaa hawajakosea kabisa kujiita Bilabao.
Ila wachezaji wetu na wenyewe hawajui kabisa kutumia fursa vizuri, hii mechi ilikua ya kushinda zaidi hata ya goli 5 halafu second leg inakua ni mechi ya kukamilisha ratiba tu, mechi ya marudio utakuta yanajirudia tena yaleyale ya Lyon, kipindi cha kwanza tu Bilabao wanarudisha goli zote 3 halafu mashabiki tunaanza kuteseka na high blood pressure.
Inaonekana bangi ya india unayovuta ni kali sana.Hilo liko wazi Bilbao baada ya red card wakaamua kutunza nguvu za second leg
Atashinda kwenye matofal 4 bila 😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda wabadilishe jina kwanza, kama vipi washauri second leg wakija pale shamba la bibi wajiite Athletic tu hio Bilabao waifute.Hilo liko wazi Bilbao baada ya red card wakaamua kutunza nguvu za second leg
Atashinda kwenye matofal 4 bila [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu Kanjibhai namjua anavutaga Skanka iliyochanganywa na pilipili, hivyo asikuumize kichwa sana, ni miwasho tu ya pilipili ndio inamsumbua.Inaonekana bangi ya india unayovuta ni kali sana.
Acha kabisa mkuu,man u ananipa pressure Sana anapocheza kuna wakati mpaka nazima TV nisiendelee kuangalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa jamaa hawajakosea kabisa kujiita Bilabao.
Ila wachezaji wetu na wenyewe hawajui kabisa kutumia fursa vizuri, hii mechi ilikua ya kushinda zaidi hata ya goli 5 halafu second leg inakua ni mechi ya kukamilisha ratiba tu, mechi ya marudio utakuta yanajirudia tena yaleyale ya Lyon, kipindi cha kwanza tu Bilabao wanarudisha goli zote 3 halafu mashabiki tunaanza kuteseka na high blood pressure.
Lord Maguire the Magicians himself
We kweli upo waziWanangu mnawajua bolibao? 😁😁😁😁😁
Huyu kocha valverde nilimpenda toka akiwa Barcelona
Huruma manchester united zikipungua sana leo mnakula tano uku bruno akila umeme😁
Livesports088 - Live Sport Streams, Watch Football Live, NBA and More Tunza hiyo Link itakusaidia.naombeni link wakuu
Maguire anazungusha
Amini kwamba Tutamchakaza Spurs.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na spurs nae tayari ameshampiga Bodo goli 2, Fainali Man Utd tukikutana na Spurs mechi itakua ngumu sana, maana wote kwenye ligi tumezingua, hivyo wote tumewekeza nguvu zote kwenye Europa ili tupate nafasi ya kushiriki Uefa msimu ujao.
Labda km niTop 2 kutokea chiniDeal done.
Matheus cunha ndani ya nyumba, tumesajili winga Moja kutoka havre 18 yo.
Tumesajili LB LEON.
tuna heaven CB.
Tuna chido obi martin CF
Ederson wa Atalanta ananukia.
Project inakuja moto.
Man united bingwa 2027.
Na mwakani top two