Acha tuwaangalie tu, bilbao wapo vizuri sana katika transition football wapo compact sana.Afu wanatarajia kuifunga defense ya Bilbao na mastreka kina hojlund na magwaya
Anafungwa huyo na transition yaoAcha tuwaangalie tu, bilbao wapo vizuri sana katika transition football wapo compact sana.
Hamna team hapo mkuu, 😃Daah hili team ni mbovu kishenzi