fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,399
- 9,823
Mission ilikuwa kutoshuka daraja msimu huu, msimu ujao tunabeba ndoo kama Pep akiwa bado hajajipata.Ni jambo la kushukuru, chama la kina Vipipi lipo safe kutokana na kushuka daraja.
Arsenal huwa sioni athari yao kwenye kupambania kombe la EPL.