Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

duh, commentator anataja record mpya hapa ya man u
 
Nilipokua naangalia mpira baada ya penati ya lacazete watu wakaanza kuondoka. Mimi bado nilikua nina matumaini ya comeback sababu jamaa walikua pungufu hata mainoo alivyochomoa nikamwambia mshkaji man u atapambana kupata goli 5 maana pale golini kwake kipa onana wakienda matuta hawatoboi. Faida ya kuwa na wakongwe imeonekana Bruno, maguire na casemiro waliamua kulibeba jukumu wao wenyewe
Onana kwenye mechi zilizoishia kuamiliwa na matuta zote hajaonyesha huo Uwezo UNAoTAKA kutuambia hapa vs Fulham FA, community shield na man city, ile mnawatoa arsenal alidaka kipa mturuki ertugul beyindir bey😂
 
Aiseee

 
Hivi hii timu kwa mwenendo huu si itashuka daraja!
Haiwezekani kwa njia yoyote hata tufungwe mechi zote zilizobaki. Yule wa 17 kwenye msimamo Ipswich jana Arse8 katusaidia kumpiga kwa hiyo sasa tumemuacha point 17 na zimebaki mechi 4 zenye jumla ya point 12.
 
Huu muda, wachambuzi wa kibongo ndo wanaanza uchambuzi wa kimataifa hasa ligi ya Uingereza, wakuu msikae mbali na radio zenu 🔥
 
Ni jambo la kushukuru, chama la kina Vipipi lipo safe kutokana na kushuka daraja.
 
Back
Top Bottom