Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,405
- 6,631
Kombe linaenda Tottenham
Leta matokeo KENGE.Mangese yamepigwa na timu ipo pungufu 😅😅
Siku zote Maguire akiwa fit halafu akaanzia benchi najisikia vibaya sanaMs*nge tu naye Ruben. Mechi ngumu kama hizi sio za kumuacha beki kisiki kama Maguire. Yaani Lindelof aliyeoza ndio anamuweka benchi Maguire?
"Hujajua mpira bado kijana" nakumbuka siku ile nilikujibu hivi.Maguire beki kisiki😅😅😂😂
kwamba mmepita mpaka na kauli mbiu yao uchwara na mkaongezea na 'kings' kabisa?Hivi ndivyo madrid walitakiwa kucheza dhidi ya wenger orphans kutuondolea kelele mtaani.
#Remontada Kings
#comeback kings
Ulikua shimoni for 14 hours."Hujajua mpira bado kijana" nakumbuka siku ile nilikujibu hivi.
Kale ka garnacho ni kenge kabsaa.Hapa kobbie kamfundisha Garnacho namna ya kufunga curve
Unajisikiaje muda huu?Maguire beki kisiki😅😅😂😂
Naenda kuchukua CL unahisi najisikiaje bwana mdogo? 😅Unajisikiaje muda huu?
💪
Utoto unakasumbua....Kale ka garnacho ni kenge kabsaa.
Bodo sio wa kuwachukulia poa. Niliangalia game yao group stage dhidi ya porto. Madogo mpira wanaupigaKwakweli kilichowakuta Lazio 😃😃 Leo watalala midomo na macho wazi
Nilipokua naangalia mpira baada ya penati ya lacazete watu wakaanza kuondoka. Mimi bado nilikua nina matumaini ya comeback sababu jamaa walikua pungufu hata mainoo alivyochomoa nikamwambia mshkaji man u atapambana kupata goli 5 maana pale golini kwake kipa onana wakienda matuta hawatoboi. Faida ya kuwa na wakongwe imeonekana Bruno, maguire na casemiro waliamua kulibeba jukumu wao wenyeweBoth teams were shit but United showed heart and kept believing to the end.
Kwa channel niliyokua naangalia mpira mtangazaji alikua anasisitiza jinsi gani united kutolewa ingemaanisha a blow kwenye finance.
Ilikua kama vile wanasikia hawa jamaa. They kept going.
😀😀😀😀 bora nishabikie timu ya vichaa wenye makombe kabatini.Bora umegundua hilo. Ili uwe bora, ili ushinde makombe makubwa ya Ulaya (arse8 hajawahi kushinda) kuna wakati inakubidi uwe kichaa, tena kichaa kweli kweli.
Uyo hata kwa bodo hatoboiKombe linaenda Tottenham
Eiiii, Kila la heri mkuu😄😄Naenda kuchukua CL unahisi najisikiaje bwana mdogo? 😅
Naenda kuchukua CL unahisi najisikiaje bwana mdogo? 😅
Lini umeona mashabiki wanasema Arteta out? 🤣🤣