John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Huyo kocha naye mbahatishaji watakuja kushtuka baadae😂Hakuna mwenye akili ya mpira kuanzia Hakika Ruben hadi mashabiki
Huyo kocha naye mbahatishaji watakuja kushtuka baadae😂Hakuna mwenye akili ya mpira kuanzia Hakika Ruben hadi mashabiki
Sikujua kama ulitabiri dah! Ningeweka pesa.We are back again
Ni wale wale vijana wa bwenyenye Sir Jim Ratcliffe barobaro boys vijana wakutajika hawa wanashuka kuja kuwashika.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Nottingham forest 0 vs Manchester united 2
Tutapiga kama ngoma leoView attachment 3290393
Asipotabiri, ushindi ni uhakika.Mkuu allypipi, Leo kwenye hii derby naomba usitoe utabiri wako.
Leo kagoma 😅Mkuu allypipi aaaah tunataka kuweka mkeka mbona huweki utabiri wa watoto wa bwenyenye 😂
Huyo dorgu ni bissaka wa upande wa kushoto tu😂Huyu Dorgu ni mchezaji mzuri sana ila kuna vitu muhimu anakosa ili awe complete