Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ms*nge tu naye Ruben. Mechi ngumu kama hizi sio za kumuacha beki kisiki kama Maguire. Yaani Lindelof aliyeoza ndio anamuweka benchi Maguire?
Siku zote Maguire akiwa fit halafu akaanzia benchi najisikia vibaya sana
 
Nilipokua naangalia mpira baada ya penati ya lacazete watu wakaanza kuondoka. Mimi bado nilikua nina matumaini ya comeback sababu jamaa walikua pungufu hata mainoo alivyochomoa nikamwambia mshkaji man u atapambana kupata goli 5 maana pale golini kwake kipa onana wakienda matuta hawatoboi. Faida ya kuwa na wakongwe imeonekana Bruno, maguire na casemiro waliamua kulibeba jukumu wao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…