makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Sema kweli mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa nafasi tulizotengeneza hii game ilikua inaisha mapema sana ndani ya dakika 20 tu za mwanzo, ni vile hakuna umakini kwenye umaliziaji, yaani mpaka HT ilitakiwa tuwe tumeshinda si chini ya goli4.