mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 3,099
- 5,372
Acha tu mkuu, ni aibu na fedheha tunapata[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee hii Man Utd yetu msimu huu imejua kutuvua nguo mashabiki wake.
Yaani hata nguvu ya kuwasimanga Arsenyau wakiambulia patupu mwisho wa msimu haipo tena.