Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,930
We are the famous Man Utd
Bora umegundua hilo. Ili uwe bora, ili ushinde makombe makubwa ya Ulaya (arse8 hajawahi kushinda) kuna wakati inakubidi uwe kichaa, tena kichaa kweli kweli.Hii mechi ilikua ni vichaa wawili wanapigana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha na hali halisi kuna kitu inaitwa nyota au kismati cha makombe, kwa hali halisi ya hii timu ingekua Arsenyau ndio iko hivi hata kwenye hatua ya makundi tu msingetoboa.Tamba sana, piga kelele uwezavyo ila hali halisi ya timu yako unaijua
Nico william anawasubiri
Famous 😀😀😀😀mkuu hii timu itatutoa rohoWe are the famous Man UtdView attachment 3307776
Was it necessary mentioning Arsenal 😀😀😀Bora umegundua hilo. Ili uwe bora, ili ushinde makombe makubwa ya Ulaya (arse8 hajawahi kushinda) kuna wakati inakubidi uwe kichaa, tena kichaa kweli kweli.
130!!!Kwa mbindee sana wanangu ila hongereni sana
Dk 130 sio mchezo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio hapo sasa shangaa na wewe, kufungwa amefungwa Lyon lakini mashabiki wa Arsenyau ndio wanavunja vyombo kwa hasira[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu mbona una hasira sana kama mshale wa kichwa umekupiga?
Kama kawaida ya mashabiki wa man u😀😀😀 kidogo tu tayari mnajipiga vifuaSioni timu ya kuizuia Manutd kubeba europa league, na tunaitaka top 4 Epl kwanzia leo
Yaani acha tu mkuu🤣Famous 😀😀😀😀mkuu hii timu itatutoa roho