John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Aisee huyu Ryan cherki inabidi aje epl mchezaji mzuri
Man u kwa ujumla ni mbovu Sana yaani kuna watoto humo wanarukaruka tu kama vyura arghhhhDalot na garnacho ni takataka
Takataka hiyoHatuna timu hapa
Naamini wakicheza na stand united ya mwanza wanaeza toka droo!Team mbovu sana.
NatimizaAlhamisi nitaangalia mechi yangu ya mwisho kwa msimu huu labda wafuzu ila kwa ligi inatosha tutakutana msimu mpya .Wacha nipumzishe moyo wangu na kudunda dakika 90 kama kitenesi.
Pole mkuu, mimi ndio maana mechi za man u mara nyingi siangalii maana unapata hasiraNi muda wa kuangalia mambo mengine sasa mpira na Mimi basi inatosha