Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nikisema kuhusu striker wenu mnasema ooh ni mzuri haya sasa. Hata pasi inamshinda kocha nae Kuna mda anazingua sana sijui bado anampanga wa nini mara mia ampange hata Maguire namba 9 wallahi.
 
Kipindi cha nyuma Garnacho aliweka kamgomo flani ka kumpa Hojlund pasi, yaani alikua anaona bora arudishe mpira nyuma kuliko kuipasia hii takataka, nilikuaga namlaumu sana Garnacho ila sasa hivi naona Garna alikua sahihi kabisa, chezaji hata kutuliza mpira tu halijui unalipa pasi ya kazi gani?
Mara 100 achezeshwe Chido Obi Martin hata asipofunga walau apate uzoefu kuliko kuichezesha hii takataka inayotukaba wenyewe.
 
Huwezi amini wakitoka hapo wanakuambia Arsenal ina mid players ila wao wana world class players.

Hawa watu 😅😅
Ni ukweli, United ina world class players kwasababu ukilinganisha na Arsenal nitasema wana talented players + hard work + dedication + discipline + confidence.

Bruno, Casemiro, ni WCP.

Arsenal haina WCP ila haimanishii ni mid players. Kuwa WCP maana yake upo katika kundi la wachezaji bora kwa nafasi husika. Ukichukua wachezaji wa Arsenal kwa nafasi zao utakuta kuna wachezaji bora zaidi yao Duniani.
 
Kwahiyo duniani hakuna kama Bruno na hakuna kama Casemiro?

Ulihamia Wolves. What happened?
 
Asante refa, Lyon tukija hapo kwenye matofali ya kuchoma tunakuja kumaliza kazi.
 
Back
Top Bottom