Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnataka mumrudishe CR7 na Rooney na Giggs waje kucheza?
Nyie wajinga wa kila mwaka "our season" hamjambo?
Hamji kuchukua EPL tena ktk maisha yenu
Labda mliibe
Nyie ni wajinga sana
Bado hamyaogopi majogoo ya Anfield?
 
IMG-20250409-WA0010.jpg
 
Nyumbuz wengi hamnazo, muda c mrefu wataamia kwa atakaefudhu kati ya psg au villa

Ukweli ni kwamba kama wazee wa kushika mitutu kauli yetu ni moja tu TUKUTANE FAINALI
Beba angalau uwafikie nottingham.
Ndio mkae meza moja.
 
Dah bado hojilund yaani wanakela sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizi takataka 2 Onana na Hojlund kocha akiendelea kuziamini msimu ujao zitamfukuzisha.
Yaani hizo nafasi za wazi anazokosa Hojlund mpaka mtu unajiuliza hivi kweli huyu ni striker? Yaani mara 100 hata Werghost alikua ni mpambanaji kuliko hii takataka.
 
Back
Top Bottom