Hakuna mwenye akili ya mpira kuanzia Hakika Ruben hadi mashabikiMtu pekee alikuwa wa kutuokolea hii game alikuwa ni MAGUIRE...lakini kocha kashachelewa.
Sawa hongereni kwa ushindiHawa Forest leo watalala na viatu, sio kwa mpira huo waliopigiwa.
Huyo kocha naye mbahatishaji watakuja kushtuka baadae😂Hakuna mwenye akili ya mpira kuanzia Hakika Ruben hadi mashabiki
Sikujua kama ulitabiri dah! Ningeweka pesa.We are back again
Ni wale wale vijana wa bwenyenye Sir Jim Ratcliffe barobaro boys vijana wakutajika hawa wanashuka kuja kuwashika.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Nottingham forest 0 vs Manchester united 2
Tutapiga kama ngoma leoView attachment 3290393