Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,521
kipindi icho bado pep haja reinvent the game, yani zama za kale, ukipanga hii timu dhidi ya Guardiola mwenye njaa ya mafanikio unapigwa kumi zako safi, imagine hii timu dhidi ya Barcelona ya pep iliyomtetemesha miaka ile, si angezima kabisaBabu kama babu