

Sema huyu refa wa leo akipigwa vizuri atasema tu kabatini kwake ana jezi ngapi za Utd, kwani FA hawawezi kumpa ajira huyu jamaa naona anatufaa sana kwenye Epl. Kabisa.Dorgu man of the match
Dorgu man of the match


Huyu muhuni anasaidia kupunguza molari ya timu pinzani, ila amenifurahisha ile penalty ya mwisho kaonyesha uungwana amemfata refa na kumuambia kua hajachezewa rafu.Mwanaume kuchekacheka ovyo ni ujinga.Hao wachezaji sasa wanaoichezea man u, mpaka nacheka![]()
I didn't realize you are such a fool boy.Kila baya liwakute.
Dk ya 9
Bado hamjafungwa.
Ngoja the kick iishe ndo utawajua vzuri ..hapo Kuna Lyon na kina athletic ya kina Nico Williams mna mlima mrefu sana ....hata akichezeshe refa km wa Jana Bado hamtoboi😂Kwa macho yaliyo jaa THE KICK mbona kama sioni timu ya kuizuia man u kufika fainali hapa?View attachment 3269587View attachment 3269588
roger fernandes wa sc bragaQuenda to chelsea sijafurahia taarifa hizi, tusubirie wilcox na vivell watatuletea chaguo lipi.
maisha ya kumuangalia dalot kila wiki yapungue